} LUCY PATRICK WATZ: MFAHAMU RAIS WENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE DUNIANI

MFAHAMU RAIS WENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE DUNIANI

Rais mdogo kuliko wote duniani ni Joseph Kabila wa Democratic Republic of the Congo alizaliwa tarehe 4 mwezi wa sita mwaka 1971.Alipata madaraka ya urais baada ya kifo cha baba yake mzazi ambaye ndiye alikuwa rais wa nchi hiyo mwaka 2001 na hata katika uchaguzi wa mwaka 2011 December alishinda tena kwa sasa ana umri wa miaka 42 na alipochukua madaraka alikuwa na umri wa miaka 30 kwa hiyo hii inamfanya kuweka rekodi ya kuwa raisi mwenye umri mdogo zaidi duniani. 

0 comments: