} LUCY PATRICK WATZ: BOMU LALIPUKA KARIBU NA UBALOZI WA UFARANSA HUKO LIBYA

BOMU LALIPUKA KARIBU NA UBALOZI WA UFARANSA HUKO LIBYA

    
 
 

 
Habari kutoka mji mkuu wa Libya zinasema kuwa bomu lalipuka karibu na ubalozi wa ufaransa nchini humo.Bomu hilo lililokuwa kwenye gari ndogo ambalo lilikuwa limeegeshwa karibu na geti la ubalozi huo lililipuka na kujeruhi walinzi wawili waliokuwa getini wakiendelea na kazi zao.
Wazili MOHHAMED ABDEL AZIZ amesema kuwa shambulio hilo ni moja ya tukio la ugaidi nchini Libya
 

0 comments: